Taarifa kwa umma kuhusu kufungwa rasmi kwa zoezi la udahili kwa waombaji wa kozi za astashahada (cheti) na stashahada (diploma) kwa mwaka wa masomo 2016/2017
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu Wadau na Umma kwa ujumla kuwa zoezi la kupokea maombi ya kujiunga na masom...

